Diamond Wakomeshe Wanaosema Tiffah si Mtoto Wako, Wabandikie Matokeo ya DNA Kama Ulivyobandika ya Ujauzito
Author -
Erasto
10:54 AM
0
Pole Sana Diamond Platnumz inasikitisha mtoto mdogo kusemwa midomoni
mwa watu kuwa wewe sio Baba yake ,Wakomeshe wanaosema Tiffa si wako,
wabandikie matokeo ya DNA Kama ulivyobandika ya ujauzito. Utawakata
midomo kama alivyofanya Rafiki yako Ney wa Mitego.....